Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake
Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo.
Diamond, freemason siri nje - JamiiForums
Diamond akisalimiana na mtasha kwa ishara ya Kifreemason. Stori: Shakoor Jongo na Erick Evarist SIRI imefichukua kuwa madai kwamba kichaa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa Diamond Platnumz ni memba wa jamii ya siri inayodaiwa kumwabudu shetani, Freemason a.k.a Wajenzi Huru zilianza...
Diamond Platnumz amuoa Zuchu. Ni mpango wa kuuzima moto wa Askofu ...
Wakuu Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli? Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi. Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya...
textures in diamond city disappearing/reappearing? - Discussion - Nexus ...
Hey, so ive been running into this problem where textures in (primarily) diamond city and a few other areas will disappear and reappear at random (the object is still there, just invisible), and it makes it very difficult to walk around diamond city. Ive read on this issue with other people, and ...
Diamond Platnumz afunguka alivyomwaga chozi akishoot ... - JamiiForums
Baada ya Diamond Platnumz kuulizwa na Billboard-: Unaendesha biashara nyingi, kitu gani kuwa boss wako mwenyewe kimekufundisha kuhusu kuwa msanii bora? "Kuwa boss wako mwenyewe ni suala gumu sana, kudhibiti haya mambo yote ni kazi kubwa, na muda mwingine kama upo katikati ya mahojiano unaweza...
Tetesi: - Hayawi Hayawi, Diamond kumposa Zuchu Ijumaa!
Diamond amekuwa akitoa ahadi nyingi hivyo wengi hatukuchukulia tamko lile kwa uzito, nimeshtuka baada ya kupewa taarifa za uhakika kuwa ni kweli na posa hiyo itapelekwa nyumbani kwa Bi Khadija Kopa Ijumaa ya kesho kutwa tarehe 7. Haya jamani, mambo ndio yako hivyo na hii ni habari endelevu nitakuwa hapa kuwajuza mapema kadiri nitakavyopokea ...
Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade ...
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26. Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
Weird Face Patches like diamonds - Skyrim SE - Nexus Mods Forums
Diamond patches close to the Forehead and Chin areas, they ain't Dark.. but a little more bright, they don't match the standard color (Also, i just use Skyrim Standard hair, despite i have other hair mods installed.. at least for my Character i never have a problem)
Can't talk with most npc's - Page 2 - Discussion - Nexus Mods Forums
So as with anything, it's entirely possible for multiple similar (or even seemingly identical) bugs to appear with a variety of causes, so while I've experienced a 'can't initiate dialogue with some NPCs' bug, I can't say with any certainty that my findings will apply to you. For me, the bug effects most NPCs in diamond city, so if these NPCs are not an issue for you (e.g. if you can trade ...
Ni kweli Diamond ndiye C.E.O wa Wasafi Media? - JamiiForums
Mimi kwa ufahamu wangu ni Diamond je ni kweli diamond ndiye ana share nyingi pale wasafi media mpaka akawa mkurugenzi mkuu? Au kuna mtu mwingine tofauti anayemiliki media hii kupitia mgongo wa Diamond?.
|