Diamond Platinumz atoa Tsh. Milioni 37 kwa producer Bakteria kwa ajili ...
Star wa muziki, Diamond Platnumz, ameamua kutumia siku yake ya kuzaliwa kutoa msaada wa kiasi cha TSh 37 milioni kwa Producer Bakteria, ambaye kwa sasa anapitia changamoto za kiafya baada ya kupooza na kulazimika kukaa kitandani kwa zaidi ya miaka miwili. Soma: Diamond Platinumz ampa milioni 10...
Fahamu historia ya Diamond Platnumz juu ya maisha na muziki wake
Diamond alirelease nyimbo yake ya nne na kuweka record ya kuwa msanii wa kwanza na pekee kujaza Club Maisha hadi watu kushindwa kuingia na hata wengine kuzimia baada kutokupata hewa ya kutosha kutokna na wingi ujaaji huo.
Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi ...
Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika Inside10 Sep 2, 2025 bahati mbaya diamond halisi kufanya kazi maskini matako mfano ommy dimpoz sawa
Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi ...
Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi. Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali...
Dudubaya adai Diamond toka atoke nyumbani kwa P Diddy ... - JamiiForums
Msanii nguli wa bongo fleva. Dudubaya adai toka msanii mwenzie Diamond plutnumz atoke nyumbani kwa P diddy huko Marekani, akili zake nado hazipo sawa.
GE2025 - RC Sirro: Diamond alisema sahihi, msilalamike fanyeni kazi
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amewataka vijana kutumia muda wao kufanya kazi kwa bidii badala ya kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii kulalamika. Sirro amesema vijana wanapaswa kujiuliza kila siku, kuanzia asubuhi hadi jioni, ni kazi gani wamefanya kwa ajili ya familia...
Need step-by-step guide on how to install Cbbe 3ba.
Demoniac, Valhalla, Tempered, SG, The Pure, Diamond... you obviously want the CBBE variant, and beefy hardware if you want 8K skins. If your PC is on an older side, consider going with 2K textures instead. Aaaand finally, we get to CBBE 3BA. You really should go through its description in detail. Instructions are quite comprehennsive.
Muulizeni Diamond Platinumz aliyewakodia Private Jet kwenda Nigeria ...
Anasema yeye Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz, Marioo na Jux wanafanya kazi hawapewi pesa za bure. Amesahau siku chache tu zilizopita walikodiwa ndege binafsi kwenda Nigeria kwenye harusi ya Jux.
Ugomvi baina ya Diamond, Mbosso na Baba Levo kisa wimbo wa Pawa
DIAMOND: @Officialbabalevo WEWE KUANA MWENZANGU NA NAHESHIMU NAFASI YAKO ILA UNAPOELEKEA. UNANILAZIMISHA KUKAA MBALI NA WEWE MAANA UNAFANYA. NIHISI KUNA AGENDA. NISIOLJUA UNANITENGENEZEA. @mbosso_ UNAHAKI YA KUTOPENDEZWA, KUCHUKIA NA KUREACT KWA NAMNA YOYOTE UNAYOHISI NI SAHIHI UNAPOKOSEWA ILA...
Ugomvi baina ya Diamond, Mbosso na Baba Levo kisa wimbo wa Pawa
View attachment 3445659 DIAMOND: @Officialbabalevo WEWE KUANA MWENZANGU NA NAHESHIMU NAFASI YAKO ILA UNAPOELEKEA. UNANILAZIMISHA KUKAA MBALI NA WEWE MAANA UNAFANYA. NIHISI KUNA AGENDA. NISIOLJUA UNANITENGENEZEA. @mbosso_ UNAHAKI YA KUTOPENDEZWA, KUCHUKIA NA KUREACT KWA NAMNA YOYOTE UNAYOHISI NI SAHIHI UNAPOKOSEWA ILA NAOMBA USINUJUMUISHE KWENYE UJINGA WA BABA LEVO NA NADHANI TUSHALIONGEA HILI ...
|